Maeneo bunge yasiyo na idadi tosha ya watu kumezwa

NA MERCY KOSKEI UFICHUZI kwamba, karibu maeneo bunge 40 nchini yatafutiliwa mbali kwa sababu hayajatimiza idadi ya watu wanaohitajika kulingana na sheria, umeibua wasiwasi miongoni mwa wabunge wanaoyawakilisha. Hayo yalifichuka Jumatano, wakati wa warsha kuhusu mageuzi katika mfumo wa uchaguzi iliyofanyika katika mkahawa mmoja mjini Nakuru. Kulingana na sheria, kila mojawapo ya maeneo bunge 290 […]