Madiwani 15 wa Nyandarua kujibu madai ya kujitengea mamilioni

Na WAIKWA MAINA TUME ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC) imeagiza madiwani 15 wa Kaunti ya Nyandarua kujibu madai ya kujitengea Sh3.6 milioni kinyume cha sheria katika mwaka huu wa kifedha. Mkuu wa EACC eneo la Kati, Bw Charles Rasugu, alisema madiwani hao wanatarajiwa kufika mbele ya wachunguzi Jumanne, Jumatano na Alhamisi huku baadhi […]