Madaraka Dei: Viti vingi vyakosa wa kuvikalia uwanjani KMTC Siaya

NA KASSIM ADINASI WAKAZI wachache wa Kaunti ya Siaya wamejitokeza katika uwanja wa KMTC kuadhimisha makala ya 60 ya Madaraka Dei, sherehe ambazo zimeadhimishwa kote nchini Kenya. Waliohutubu uwanjani KMTC wameitaka serikali na viongozi kuwawezesha zaidi wanawake na watu wanaoishi na ulemavu. Baadhi ya viti uwanjani humo vilisalia wazi kutokana na idadi ya chini ya […]