Madaraka Dei: Kamishna wa Trans-Nzoia awaonya watengenezaji pombe haramu

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 13:28:32 EAT   |  Business

NA OSBORN MANYENGO KAMISHNA wa Kaunti ya Trans-Nzoia Gideon Oyagi ameonya watengenezaji wa pombe haramu eneo hilo huku akiwataka waachane na biashara hiyo. Akihutubia wakazi kwenye hafla ya kuadhimisha Madaraka Dei katika uwanja wa shule ya Bikeke iliyoko kaunti ndogo ya Kiminini Bw Oyagi amesema ni lazima pombe haramu imalizwe kila sehemu Trans-Nzoia huku akiwataka […]