Madaraka Dei Juni 1, 2023

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 04:47:58 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto Alhamisi, Juni 1, 2023 ataongoza taifa kuadhimisha Sikukuu ya Madaraka Dei 2023. Ni siku maalum inayoadhimishwa Juni 1 kila mwaka kusherehekea uhuru wa ndani kwa ndani Kenya kujitawala, kutoka kwa serikali ya Mbeberu. Maadhimisho ya 2023 yananyika katika Uwanja wa Moi, Embu. Wananchi kutoka sehemu mbalimbali za nchi, walianza kufurika […]