Madaraka Dei 2023: Rais Ruto aahidi kuzindua bodaboda zinazotumia nguvu za umeme

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 11:31:28 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto ameahidi kuwa serikali yake inaendeleza mikakati kuleta nchini pikipiki zisizotumia mafuta ya petroli. Dkt Ruto alisema Alhamisi, Juni 1, akihutubu katika sherehe za maadhimisho ya Madaraka Dei 2023, bodaboda hizo zitakuwa zinatumia nguvu za umeme. Maadhimisho ya Madaraka Dei 2o23, yalifanyika katika Uwanja wa Moi, Embu ambapo rais aliongoza […]