Madai wazazi wengi Rabai wanathamini matanga kuliko michango ya kuwasomesha watoto

Taifa Leo
Published: Sep 27, 2023 08:01:55 EAT   |  Educational

NA ALEX KALAMA WADAU katika sekta ya elimu eneobunge la Rabai wameanza kutafuta suluhu ya kuboresha viwango vya elimu eneo hilo baada ya kushuhudia matokeo duni kwa miaka mitatu sasa. Wakiongozwa na shirika lisilo la kiserikali la Boresha Elimu, wadau hao wanasema Rabai imeporomoka viwango na si ile ya zamani. Wamesikitika kwamba wanafunzi wengi eneo […]