Macharia ajitetea kuhusu uhaba wa walimu katika JSS

NA CHARLES WASONGA AFISA Mkuu mtendaji wa Tume ya Huduma za Walimu (TSC) Nancy Macharia jana alijitetea vikali kufuatia hatua ya tume yake kutotuma walimu wa kutosha katika shule za upili za kimsingi (JSS) nchini. Dkt Macharia aliiambia Kamati ya Bunge kuhusu Elimu kwamba TSC ilituma mwalimu mmoja katika kila moja ya shule hizo 30,550 […]