Mabingwa wa tenisi Afrika Mashariki U-14 Kenya warejea nyumbani

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 14 na pia walio chini ya umri wa miaka 16 zilirejea nyumbani Jumatatu usiku kutoka Rwanda zilikozoa medali nne kwenye mashindano ya tenisi ya Afrika Mashariki (Zone 4). Wavulana Baraka Ominde, Brian Nyakundi na Ayush Bhandari walitwaa medali ya dhahabu katika tenisi ya […]