Maandamano: Shughuli muhimu zasimama jijini Nairobi

Taifa Leo
Published: Mar 20, 2023 09:55:17 EAT   |  Business

NA SAMMY KIMATU SHUGHULI zimesimama siku nzima katikati mwa jiji huku Polisi wakiwa na mchezo wa paka na panya kuwatawanya waandamanaji. Maduka yamesalia yakiwa yamefungwa huku wafanyakazi wakionekana kukaa nje ya milango wakisubiri kuona ikiwa hali ingetulia ili waendelee na biashara lakini hilo halikuwezekana. Katika barabara ya Tom Mboya, Moi Avenue, Ronald Ngala, River Road, […]