Maafa ya mwanamke ndani ya shamba la Kakuzi    

Taifa Leo
Published: Apr 16, 2024 04:55:08 EAT   |  Business

NA MWANGI MUIRURI UTATA umezuka kuhusu mauti ya Bi Agnes Njeri Mwaniki wa miaka 62 aliyefariki akiwa katika shamba la kampuni ya Kakuzi inayomilikiwa kwa wingi wa hisa za Uingereza. Kampuni hiyo hudhibiti ekari 32, 900 katika Kaunti ya Murang’A, ambapo Aprili 3, 2024 Bi Mwaniki alikumbana na majeraha ambayo yaliishia kumuua. Kakuzi imekuwa ikilaumiwa […]