Maadhimisho Jamhuri Dei 2021: Rais Kenyatta asifia Raila Odinga

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 14:54:40 EAT   |  News

Na SAMMY WAWERU SHEREHE za madhimisho ya Jamhuri Dei 2021 zimefanyika Jumapili, katika Bustani ya Uhuru, jijini Nairobi. Rais Uhuru Kenyatta ameliongoza taifa katika maadhimisho hayo ya Makala ya 58, yanayosherehekewa kila mwaka, baada ya Kenya kuwa Jamhuri Desemba 12, 1963. Kati ya viongozi wenye nyadhifa kuu serikalini na wanasiasa waliohudhuria, ni naibu wa rais, […]