Lukaku: Ilibidi tuzoee maziwa na mkate kila siku kwa sababu ya msoto nyumbani

CECIL ODONGO Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI wa Ubelgiji Romelu Lukaku amesimulia namna kwao walilelewa kwa maisha ya umaskini mkubwa na jinsi usakataji wake wa kabumbu ulivyomsaidia kubadilisha hali hiyo. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 30 kupitia chapisho lililotundikwa kwenye na Twitter na @Football—Tweet mnamo Jumatano alisema maisha hayo ya dhiki yalimpa msukumo wa kujituma katika […]