Liverpool kigezoni dhidi ya Aston Villa

Na MASHIRIKA NDOTO ya Liverpool kutia kapuni taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu itazimika leo Jumanne iwapo watazidiwa maarifa na Aston Villa ya kocha Steven Gerrard uwanjani Villa Park. Gerrard, 41, aliwahi kuchezea Liverpool (1989-2015) na LA Galaxy ya Amerika (2015-16) kabla ya kujitosa katika ulingo wa ukufunzi. Tofauti na Liverpool ambao […]