KUTRRH kuhudumia wagonjwa 200 wa figo kila siku

Taifa Leo
Published: Aug 30, 2023 03:50:48 EAT   |  Educational

NA LAWRENCE ONGARO HOSPITALI ya Mafunzo, Rufaa na Utafiti ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KUTRRH) imepata mashine mpya 20 za usafishaji damu kupitia figo. Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Ahmed Dagane, alisema hospitali hiyo imepiga hatua ya kuwa na jumla ya mashine 35 ya kuosha damu kupitia figo. Alisema maradhi ya figo yamesambaa kote duniani. Alisema […]