Korti yaagiza hoteli kulipa mfanyakazi aliyeachishwa kazi Sh1.9m

Taifa Leo
Published: Dec 16, 2022 18:13:09 EAT   |  Travel

NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA ya Mombasa imeagiza hoteli ya kitalii kumlipa mfanyakazi wake wa zamani Sh1.9 milioni kwa kumfuta kazi kiharamu. Jaji Agnes Nzei, aliamuru hoteli ya Swahili Beach Resort Ltd imlipe Bw David Oseme, pesa hizo kama fidia kwa kumfuta kazi kimakosa, mshahara wa mwezi mmoja na mshahara ambao alikuwa hajalipwa wa Januari, 2019. […]