Kocha Sam Allardyce abanduka kambini mwa Leeds United

Na MASHIRIKA KOCHA Sam Allardyce ameagana na Leeds United baada ya kipindi kifupi kilichomshuhudia akisimamia michuano minne kukamilika kwa waajiri wake kuteremshwa ngazi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Allardyce, 68, aliongoza Leeds kupoteza mechi tatu na kupiga sare moja tangu amrithi Javi Gracia mnamo Mei 3, 2023. Leeds watarejea sasa kwenye Ligi ya Daraja […]