Kisumu All Starlets kukwaana na Ulinzi Starlets kwenye nusu-fainali Kombe la FKF

NA TOTO AREGE KISUMU All Starlets itamenyana na mabingwa Ulinzi Starlets katika nusu-fainali ya Kombe la Wanawake la Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kwenye uwanja wa RVIST katika Kaunti ya Nakuru leo Jumatano. Kisumu itatarajia kupata ushindi wa kufutia machozi, baada ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL) hadi Ligi ya […]