Kiptum na Kosgei kuongoza timu ya Kenya ya marathon ya Riadha za Dunia Budapest

Na AYUMBA AYODI MTIMKAJI wa pili bora kwa kasi katika historia ya mbio za kilomita 42, Kelvin Kiptum na mshikilizi wa rekodi ya dunia ya marathon ya akina dada Brigid Kosgei wataongoza timu ya Kenya kwenye Riadha za Dunia jijini Budapest, Hungary mnamo Agosti 19-27. Bingwa wa London Marathon, Kiptum, atashirikiana na mshindi mara mbili […]