Kingi awaacha wafuasi wake kwenye mataa

Na BRIAN OCHARO CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA), kinachoongozwa na Gavana wa Kilifi, Bw Amason Kingi, kimepanga kuandaa mkutano kuondolea wafuasi wake dukuduku kuhusu mwelekeo ambao kitachukua kwa urais 2022. Hii ni baada ya Bw Kingi kuashiria kuwa chama hicho kitapigia debe azimio la Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa urais. Wiki iliyopita, […]