Kindiki atakiwa kutuliza uhalifu Pokot Magharibi

NA OSCAR KAKAI KAMATI ya usalama katika bunge la kitaifa itamuita tena Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kujibu maswali kuhusu hali ya usalama katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa. Kamati hiyo inazuru Kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet kutathimini hali ya usalama katika eneo lenye utata la Bonde la Kerio. Jumamosi, Desemeba […]