Kinara wa UoN kusomewa hukumu Januari 22 kwa kuidharau mahakama

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 10:41:32 EAT   |  Educational

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU Chancela wa Chuo Kikuu cha Nairobi Prof Stephen Kiama huenda akasukumwa jela kwa kukaidi agizo la mahakama kuu. Kufuatia kukaidi kwa agizo la mahakama kuu, Jaji Maureen Onyango, Ijumaa alasiri wiki jana alimwamuru Prof Kiama afike kortini Januari 22, 2022 kuhukumiwa. Jaji Onyango alimwamuru Prof Kiama afike kortini baada ya kumpata […]