Kimathi aelekea Ureno kupaisha gari duru ya dunia

Taifa Leo
Published: May 10, 2022 15:18:18 EAT   |  General

Na GEOFFREY ANENE DEREVA McRae Kimathi ameelekea nchini Ureno kushiriki duru ya nne ya Mbio za Magari Duniani (WRC) itakayofanyika Mei 19-22. Bingwa huyo wa Afrika wa kitengo cha chipukizi alikuwa Uganda wikendi iliyopita (Mei 6-8) kwa duru ya Afrika ya Pearl ambapo alimaliza nambari tisa kwa jumla, nambari nne katika kitengo cha washiriki wa […]