KIKOLEZO: Maisha na mikasa ya nguli Tedd Josiah

NA SINDA MATIKO NILIMKUTILIZA Edmond Josiah almaarufu Tedd Josiah, akiwa anajipangapanga kwenye makao yake mapya yaliyopo mtaa wa kifahari wa Runda. Ni siku chache toka alipohamia kwenye mjengo huu wa ghorofa wenye vyumba vya kutosha. Pembeni kuna mjengo mkubwa ambao kaugeuza kuwa kiwanda cha kutengeneza mabegi yake ya ngozi JokaJok Leather. KWA NINI ALIACHA MUZIKI […]