KIKOLEZO: Ifahamu hii sanaa ya ucheshi isiyo kawaida

Taifa Leo
Published: Mar 03, 2023 11:58:04 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO KUNA sanaa fulani ya uchekeshaji ambayo Wakenya bado wanahangaika kuielewa, iitwayo ventriloquism (uchekeshaji kwa kutumia kikaragosi kwa Kiswahili). Hii ni sanaa ya uchekeshaji kwa kutumia kikaragosi. Kitokeacho hapa ni msanii mchekeshaji kuigiza kama vile anafanya maongezi ya majibizano kati yake na kikaragosi. Idadi kubwa ya watu hasa Afrika ambapo sanaa hii sio […]