KIKOLEZO: Azidi kuchafua hewa Twitter

NA SINDA MATIKO TAJIRI nambari moja duniani Elon Musk ameendelea kuchafua hewa pale Twitter baada ya kukamilisha ununuzi wa App hiyo kwa dola 44 bilioni pesa taslimu. Dola 13 bilioni ni mikopo kutoka kwa mabenki. Na ili kulipa mikopo hiyo anayotakiwa kuwa akilipa dola 1 bilioni kila mwaka, Musk katangaza tozo mpya Twitter ambayo ilianza […]