Kijana aliyeachia masomo Darasa la Tatu atengeneza pikipiki, abakisha injini

NA KASSIM ADINASI KIJANA Brian Otieno mwenye umri wa miaka 23, ametengeneza pikipiki yenye umbo la kipekee ambayo anasema anasubiri tu kuweka injini ili ianze mwendo. Amepiga hatua kubwa licha ya kuachia elimu yake katika Darasa la Tatu, na anasema mambo bado kwani katika masuala ya uhandisi, “ninaweza kutengeneza motokaa”. Brian anasema aliacha masomo ya […]