Kidudu-mtu asambaza umbea kwa mke wa polo aliyekutana na ‘ex’ kisiri

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI JOMBI wa hapa alijuta kukutana na mpenzi wake wa zamani, mkewe alipopata habari na kumfokea vikali. Jamaa alisema alikutana na ex wake katika mkahawa, wakasalimiana na kupiga gumzo huku wakiteremsha kikombe cha kahawa. Hata hivyo, kidudu-mtu alimuona na moja kwa moja akamrushia mkewe umbea, naye akachukua simu na kumtumia mumewe […]