KICD kuchapisha vitabu zaidi ya milioni 15 vya Gredi ya 7

Taifa Leo
Published: Feb 14, 2023 09:52:08 EAT   |  Educational

NA WINNIE ATIENO TAASISI ya kukuza mitaala nchini (KICD), inalenga kuchapisha takriban vitabu milioni 15 vya Gredi 7 kabla muhula huu ukamilike. Afisa mkuu wa taasisi hiyo, Prof Charles Ong’ondo, alisema kila mwanafunzi anafaa kuwa na vitabu 13. Kulingana naye, vitabu vya Gredi 7 vimesambazwa katika shule za kaunti 20 kufikia sasa huku serikali ikilenga […]