Kesi ya kuzima mazungumzo Bomas kutajwa Oktoba 23

NA RICHARD MUNGUTI JITIHADA za kuzima Kamati ya Kitaifa ya Mazugumzo (NADCO ) yenye wajibu wa kukusanya maoni ya kubadilisha katiba na kutafuta suluhu ya matatizo yanayokumba nchi zimegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kukataa kusitisha vikao vyake. NADCO inawajumuisha wanasiasa wa mirengo ya Azimio na Kenya Kwanza. Badala ya kusitisha vikao vya kupokea maoni […]