Kesi dhidi ya washukiwa wa uteketezaji wa ofisi za chama cha Ruto kusikilizwa Oktoba 4

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 11:10:20 EAT   |  News

NA KASSIM ADINASI KESI dhidi ya washukiwa watano wa uteketezaji wa ofisi za chama cha Rais William Ruto itasikilizwa mnamo Oktoba 4, 2023, miezi mitano baada ya tukio hilo. Ofisi hizo za United Democratic Alliance (UDA) ziliteketezwa mnamo Machi 30, 2023, wakati wa maandamano yaliyoitishwa na muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya. Waliokamatwa ni Michael Ochieng, Felix […]