Kesi dhidi ya dereva Maxine yaahirishwa kwa miezi 8 mahakama ikimruhusu kusherehekea Krismasi na familia

NA RICHARD MUNGUTI DEREVA wa Safari Rally Maxine Wahome anayekabiliwa na shtaka la mauaji, amekubaliwa kusherehekea sikukuu ya Krismasi na shamrashamra za Mwaka Mpya pamoja na familia yake baada ya Mahakama Kuu kumlegezea masharti ya dhamana. Akimruhusu Maxine kujumuika na dada yake Stephanie Wahome, dada na kaka wengine watakaosafiri kutoka ng’ambo kuja kusherehekea sikukuu hizi […]