Kenya Kwanza: Ruto asema ‘form’ ni kubembeleza vyama tanzu kukubali kuvunjwa vijiunge na UDA

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 17:02:44 EAT   |  News

NA CECIL ODONGO RAIS William Ruto mnamo Ijumaa amepigia debe pendekezo la baadhi ya vyama tanzu ndani ya Kenya Kwanza kuvunjwa ndipo viungane na UDA kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027 ila akasema havitalazimishwa. Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala amekuwa katika mstari wa mbele kupigia debe pendekezo kuwa vyama tanzu ndani UDA vivunjwe ili kuwe […]