Kazi mwitu: Ajenti ashtakiwa kwa kuwanyofoa watafuta ajira Sh385,000

NA RICHARD MUNGUTI AJENTI wa kampuni ameshtakiwa kwa kuwalaghai watafuta ajira Sh385,000 akidai angewatafutia kazi nchi za ng’ambo. Salome Nkatha Marete alishtakiwa kuwafuja wasaka kazi pesa hizo akidai atawatafutia kazi nchini Qatar na Uholanzi (Poland). Marete alikana alimlaghai Ndichu Kihara Sh65,000 akidai angemtafutia mwanawe Peter Kihara Ndichu kazi nchini Qatar. Pia alikabiliwa na shtaka jingine […]