Kayange: Shujaa wa 7s aliyewasha msisimko wa raga nchini na kote duniani

Taifa Leo
Published: Sep 21, 2023 14:10:45 EAT   |  Educational

NA GEOFFFREY ANENE HUMPHREY ‘Tall’ Kayange ni mmoja wa mashujaa wa Kenya katika raga. Mwanafunzi huyo wa zamani wa shule za msingi za Joseph Kang’ethe (Nairobi) na Hermann Gmeiner (Eldoret), shule ya upili ya St Peter’s Mumias (Kakamega) na vyuo vikuu vya Jomo Kenyatta (JKUAT) na Bristol (Uingereza) alichezea timu ya taifa ya Kenya kutoka […]