Kaunti za Pwani zenye raslimali kunufaika pendekezo la Gavana Nassir likifaulu

Taifa Leo
Published: Jan 14, 2023 08:52:27 EAT   |  Travel

NA WINNIE ATIENO HUENDA kaunti za Pwani zilizo na raslimali mbalimbali kama vile bandari zianze kufaidi zaidi kutoka kwa rasilimali hizo, baada ya Gavana wa Mombasa Abdulswamamd Nassir kufanya kikao maalum na Rais William Ruto kuzungumzia, jinsi zitakavyofaidika na maliasili hiyo. Mnamo Jumatano, Bw Nassir alikutana na Dkt Ruto kujadili mikakati ya bandari ya Mombasa […]