Kaunti yafadhili wanafunzi 738 kuingia sekondari

NA SIAGO CECE TAKRIBAN wanafunzi 738 waliopita KCPE mwaka 2022 katika Kaunti ya Kwale, wamepokea ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo. Ufadhili huo wa jumla ya Sh400 milioni chini ya mpango wa Elimu Ni Sasa utatumika kwa wanafunzi hao waliopata alama 350 na zaidi. Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, alisema ufadhili […]