Kauli za Ndii zaashiria kuna nyufa katika Ikulu ya Rais?

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 02:45:13 EAT   |  News

NA WANDERI KAMAU MASWALI yameibuka kuhusu ikiwa mwenyekiti wa Baraza la Washauri wa Rais kuhusu Uchumi (CEA), Dkt Dadid Ndii, hatimaye amemgeuka Rais William Ruto na serikali anayoongoza ya Kenya Kwanza. Hili linatokana na kauli tata ambazo msomi huyo amekuwa akitoa katika siku za hivi karibuni, wengi wakisema kuwa huenda ametofautiana na utawala wa Rais […]