Kasisi Dolan ataka jamii zisaidie kulinda haki za binadamu

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 07:54:58 EAT   |  News

Na WACHIRA MWANGI MTETEZI wa haki za binadamu, Kasisi Gabriel Dolan, ametoa wito kwa wananchi wote kuungana dhidi ya visa vya watu kupotezwa kwa njia zisizoeleweka, akisema inaonekana juhudi za kupinga visa hivyo zimeachiwa Waislamu pekee. Bw Dolan alisema suala hilo halifai kuchukuliwa kama tatizo linalokumba Waislamu pekee bali ni tatizo la Wakenya wote. Idadi […]