Karen Nyamu: Samidoh alinichagua kwa sababu huvalia maridadi

NA SAMMY WAWERU KAREN NYAMU mpango wa kando wa msanii wa Mugithi, Samuel Muchoki almaarufu Samidoh, ameelezea mojawapo ya sababu zilizochangia mwimbaji huyo kumchagua. Amesema, yeye (Karen) huvalia maridadi, hivyo basi Samidoh alivutiwa na urembo wake. “Mimi ni mama mzuri huvalia vizuri nione kama nitaolewa,” Karen alisema. Akitangamana na mashabiki wake mitandaoni, alionekana kupandwa na mori […]