Karen Nyamu: Ninaomba Mungu abadili ajenda ‘mume wangu’ Samidoh na Edday warudiane 

Taifa Leo
Published: Sep 03, 2023 02:50:43 EAT   |  Entertainment

NA SAMMY WAWERU SENETA maalum Karen Nyamu amesema ombi lake limekuwa ni kuona ‘mumewe’ Samuel Muchoki almaarufu ‘Samidoh’ na Edday Nderitu wanarudiana. Dalili zote zinaonyesha mwanamuziki Samidoh ametemwa na Edday, hasa baada ya kuwa ‘baby daddy’ na Karen. Kupitia video aliyopeperusha mbashara mitandaoni, Karen anasema amekuwa akiomba Mungu arejeshe pamoja wanandoa hao. “Mimi kuna vile […]