Karen Nyamu: Nilisaidia mke wa Samidoh kupata tenda 

Taifa Leo
Published: Sep 03, 2023 16:30:25 EAT   |  Entertainment

NA SAMMY WAWERU  KAREN Nyamu, ambaye ni seneta maalum amedai alisaidia aliyekuwa mke wa mwanamuziki Samuel Muchoki – Samidoh, Edday Nderitu kupata zabuni.  Akizungumza kupitia video aliyopeperusha mbashara mitandaoni, mwanasiasa huyo wa chama cha UDA alilalamikia kuitwa ‘mvunja ndoa au kiruja njia’ akisema lawama hizo si haki kwa mtu aliyesaidia. Matamshi yake yalionekana kutia muhuri […]