Karen Nyamu atetea wafanyakazi walipwe vizuri

Taifa Leo
Published: Mar 24, 2023 07:39:08 EAT   |  News

NA MARY WANGARI SENETA Maalum katika Kaunti ya Nairobi, Karen Nyamu, amewasilisha rasmi bungeni mswada unaopendekeza kuongezwa kwa viwango vya chini zaidi vya mshahara kwa watumishi wa umma nchini. Endapo utapitishwa kuwa sheria, mswada huo uliowasilishwa Jumatano utawezesha wafanyakazi wanaopata kiwango cha chini zaidi cha mshahara kutia mfukoni kiasi cha hadi Sh22,680 kutoka Sh15,120 wanazolipwa […]