Kampuni yazindua simu inayolenga wasanii

NA WINNIE ONYANDO KAMPUNI ya simu ya Tecno imezindua simu mpya inayolenga wasanii wa kutengeneza video za mtandaoni. Simu hiyo Phantom X2 Series ina uwezo wa kunasa picha za ubora wa hali ya juu – sifa inayoifanya kuwa kivutio kwa watengenezaji wa video za mtandaoni. Kwa mujibu wa meneja wa kampuni hiyo nchini, Anthony Brian […]