Kampeni ya FIFA ya kukuza soka ya wanawake nchini yakamilika washiriki wakituzwa

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 18:28:40 EAT   |  Sports

NA TOTO AREGE KAMPENI ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa ushirikiano na Shirikisho la Soka Nchini (FKF) kuimarisha kandanda ya wanawake imefika tamati Ijumaa katika uwanja wa Kasarani Annex jijini Nairobi. Hafla hiyo ya siku mbili, imefika tamati kwa kishindo ikiongozwa na mwakilishi wa FIFA Sue Martin na Rais wa FKF Nick Mwendwa. Bi Martin […]