Kamene na Bonez washangaza wakidai hutumia mswaki mmoja  

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 07:14:14 EAT   |  General

  NA MERCY KOSKEI ALIYEKUWA mtangazaji wa Kiss FM, Kamene Goro na mpenzi wake DJ Bonez wamewaacha wanamitandao kwa mshangao baada ya kufichua kuwa wanatumia mswaki moja. Mtangazaji huyo wa zamani katika mchezo wa kuulizana maswali kwenye akaunti yake ya Instargam ‘How well do you know your partner‘ alifichua kuwa wanatumia mswaki mmoja na mumewe, jambo ambalo […]