Kamati ya mdahalo wa kitaifa kutumia Sh106m kutafuta namna ya kuiponya nchi

NA MOSES NYAMORI KAMATI ya Mazungumzo ya Kitaifa yenye wanachama 10 iliyoundwa na Rais William Ruto na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga, itatumia Sh106 milioni kufanikisha mazungumzo hayo ya maridhiano. Bajeti iliyotayarishwa na sekretarieti na kupitishwa na Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano inaonyesha kwamba sehemu kubwa ya mamilioni ya fedha imetengwa kwa ajili ya marupurupu […]