Kalonzo kupewa mwelekeo baada ya matokeo ya kamati ya Azimio

NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kathiani Robert Mbui amesema chama cha Wiper kitatoa msimamo wake kuhusu kinara wake, Kalonzo Musyoka matokeo ya atakayeteuliwa mgombea mwenza katika Azimio La Umoja-One Kenya yakitangazwa. Kamati teule ya muungano huo inaendeleza mahojiano ya kusaka atakayekuwa mgombea mwenza wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga katika uchaguzi mkuu Agosti 9, 2022. […]