Kajala awakataa wanaume wa Kenya kwa kumchezea ‘kalongolongo’  

Taifa Leo
Published: Sep 25, 2023 09:09:12 EAT   |  Entertainment

NA JOHN KIMWERE KATI ya waigizaji mahiri wa filamu za bongo, Fridah Kajala Masanja amesema kamwe hatoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wa Kenya. Kupitia mtandao wake wa Instagram, Kajala mwenye umri wa miaka 40, ambaye ni mpenzi wa zamani wa msanii Harmonize amewaonya wanaume wa Kenya akiwataka wakome kuingia kwenye safu yake ya […]