JURGEN NAMBEKA: Kaunti nyingine Pwani ziige ‘Mombasa Yangu’ ya Nassir

Taifa Leo
Published: Jan 26, 2023 09:45:48 EAT   |  Jobs and Career

NA JURGEN NAMBEKA MAJUZI Gavana wa Mombasa, Bw Abdulswammad Nassir, alianzisha mpango wa ‘Mombasa Yangu’ unaonuia kutoa nafasi za ajira kwa vijana 2,000. Tayari vijana kadhaa katika kaunti hiyo wamepewa ajira, na kupunguza, japo padogo, idadi ya wasio na kazi. Manufaa yake pia yameanza kuonekana jijini Mombasa kwani mandhari yake yamekuwa safi zaidi; vijana hurauka […]